Waimbaji waalikwa watakao pamba na
kuhudumia kongamano hili ni Miliam Lukindo Wa Mauki pamoja na Upendo Kilahiro,
Vocapela, Holy Bass Getor, Doxsaz, Glorious Celebration, R.T.M Bank na wengine
wengi
Kwa kiasi kidogo cha fedha ambacho ni shilingi 15,000/= za kitanzania unaweza kuhudhuria kongamano la la Zima Ukimya na Jesca Honore na kupata nafasi ya kushiriki kusongesha mbele kazi ya Bwana na kukutana na wasanii na watu wengine mbalimbali watakao hudhuria kongamano hilo.
Tiketi za tamsha hilo
zinapatikana Praise Power Radio na katika kanisa la Word Alive Centre Sinza
Mori au unaweza kupiga simu namba hizi 0718 807278 na 0712 332007
Unakaribishwa sana!
Unakaribishwa sana!
No comments:
Post a Comment